Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,625 Reaction score 38,751 Sep 23, 2018 #1 Tangu mwaka 1977 Huu ndio mwaka kilichotengenezwa kinywaji bora zaidi duniani Hakika hakuna bia kama safari,bia imeivaa sana itakua inapikwa na mwanamke
Tangu mwaka 1977 Huu ndio mwaka kilichotengenezwa kinywaji bora zaidi duniani Hakika hakuna bia kama safari,bia imeivaa sana itakua inapikwa na mwanamke
masara JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,738 Reaction score 2,289 Sep 23, 2018 #2 Kama nakuona kama unaagaza ili umuite muhudumu
T the glassroof JF-Expert Member Joined Apr 25, 2017 Posts 295 Reaction score 449 Sep 23, 2018 #3 Hivi huu mwaka ndo ule kilizaliwa chama kile mpaka leo wanapeta. Napenda sana Safari visije kuwa na uhusiano.
Hivi huu mwaka ndo ule kilizaliwa chama kile mpaka leo wanapeta. Napenda sana Safari visije kuwa na uhusiano.
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,334 Reaction score 5,326 Sep 23, 2018 #4 Wanatengenezaga wakiwa uchi itakua!
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,929 Reaction score 134,026 Sep 23, 2018 #5 siku hz wanakunywa balimi
Jimmie Gatsby JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 3,581 Reaction score 7,288 Sep 23, 2018 #6 naskia wanywa safari wengi ndio walihamia kwenye unywaji wa viroba na ndio haohao kwa sasa ni wanywaji wa balimi na vitoko 😂
naskia wanywa safari wengi ndio walihamia kwenye unywaji wa viroba na ndio haohao kwa sasa ni wanywaji wa balimi na vitoko 😂
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,920 Reaction score 28,498 Sep 23, 2018 #7 aaah me nikinywa zangu komoni,chimpumu, zinatoshaa