Tango transport.Kwang yemet.Viran,ni kweli huyu jamaa alikuwa anatisha sana,alikuwa na mashamba ya ngano pale Babati,alianza mikosi baada ya kununua chakula barafu pale jirani na NMC,ikaja scandal ya kukwepa ushuru TRA wakambananisha,mi nafikiri labda hakukifadhili chama chetu au alikosana na wakubwa,hebu aulizwe vizuri maana alifilisiwa enzi ya Sumaye na ni mbulu mwenzie alishindwa kweli kumsaidia???????????????ana magari mabovu pia njia ya kwenda white sand yamepaki miaka mingi sana.kama sikosei alizaa na rubani mwanamke wa kwanza hapa bongo wa air tz.ila wakati wake alikuwa na nyodo huyo usipime