mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Inaonekana bunduki yako imeingia katika mfumo wa kutumia decoder (kingamuzi). Na kingamuzi chenyewe kimefanywa kuwa ni mkeo.sasa akiondoka mkeo bunduki haifanyi kazi mpaka decoder(mkeo) irudi.