Laizer Miradi
Member
- Jan 2, 2018
- 24
- 8
TANGAZO
St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018.
Kwa nini St. Raphael?
1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro
2. Imefunguliwa na ina miundombinu bora na maabara ya kisasa.
3. Walimu waliobobea
4. Ada nafuu na kulipwa kwa awamu NNE
5. Mtoto asipofikisha wastani atapokelewa na kuwa chini ya uangalizi maalumu.
5. Mwisho wa kupokea ni tarehe 30 January hii.
Karibu sana St. Raphael Ifakara. Shule ipo mtaa wa Kibaoni jirani na Sekondari ya Kibaoni.
Kwa mawasiliano zaidi, tupigie Katibu wa Elimu Jimbo la Ifakara. 0786627114
Karibuni sana.