TANGAZO

Kuna watu watakaa kwenda sababu unakuta kawekeza mimba kwa wanawake kamas 4 sasa anapiga hesabu
 
je, kama mwanamke hamjui mhusika itakuwaje? na kama alibakwa pia atafanyaje?
 
Pataeleweka tu single mother watapungua kuuza avocado kichwani na mtoto mgongoni
 
Watu watarudia zama za Giza, kwani kwenda Kliniki ni Lazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…