Tangazo: Tunapamba maharusi kwa bei nafuu

Hiyo rangi kwenye macho imemechishwa na gauni.
 
Mungu anakuona
Acha kutaja jina hilo kwa mizaa aisee sio kitu kizuri hv nyie wanaume wa dar mkoje aisee mbona mnapenda ku adapt makitu kitu ya kijinga jinga
badilikeni kuwaeni wanume kweli basi vinginevyo msisogee huku dodoma nawaonya kwa mara nyingine
 
Yan unamaanisha ya kuwa nikimuleta mnampamba anaonekana hivyo!!! duh, hapana hapo tunavunjana viuno ahsehee.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…