Acha kutaja jina hilo kwa mizaa aisee sio kitu kizuri hv nyie wanaume wa dar mkoje aisee mbona mnapenda ku adapt makitu kitu ya kijinga jinga
badilikeni kuwaeni wanume kweli basi vinginevyo msisogee huku dodoma nawaonya kwa mara nyingine
Yan unamaanisha ya kuwa nikimuleta mnampamba anaonekana hivyo!!! duh, hapana hapo tunavunjana viuno ahsehee.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji15]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.