Acha kutaja jina hilo kwa mizaa aisee sio kitu kizuri hv nyie wanaume wa dar mkoje aisee mbona mnapenda ku adapt makitu kitu ya kijinga jingaMungu anakuona

Huyo ni bibi harusi kapten au? Mbona mkono was kushoto una beji ya kapten?
Kavaa hirizi