ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
Sawa ngoja nikuandalie chap na naamini utaipenda sana aiseekwanza kabisa niwashukuru wale wooote waliopendekeza nibadilishe MY AVATAR cacico charminglady FirstLady1 na wengineo waliochangia kwa maandishi Bishanga Judgement erick52 platozoom pombekal i@kaizer
ummu kulthumu na jopo lake wameamua kutafuta mtu au watu watakaofanikisha kupata Avatar yenye mvuto!
masharti ya jumla kwa msaka avatar!
1. iwe na sura ya upole na ukarimu wa kike
2. macho yenye mvuto wa mahaba
3. ushungi wa mbali huku ikiacha nywele kuonekana kwa chati
4. dimpozi sio lazima sana
5. mdomo wenye mvuto wa kumshawishi rijali kunywa juice mara kwa mara
6. sura ya oval rangi ya chugwa
7. iwe na maadili ya kizazi kipya
imedhamiwa na Young_Master platozoom HUYU nimemsahau jina.
vigezo na masharti kuzingatiwa
zawadi nono itatolewa ikiwemo mbija,makofi,vigelegele,nderemo na vifijo.
haya sasa wadau kazi mikononi mwenu tiririkeni now!!!
Sawa ngoja nikuandalie chap na naamini utaipenda sana aisee
Sidhani kama kuna atakayepata zawadi zaidi yangupoa ila kumbuka masharti.....utakuwa hupayi zawadi
ok poa sasa, ni hatua ya kusubiri vitu vyako banaSidhani kama kuna atakayepata zawadi zaidi yangu
Najiamini kuliko kawaida Ummu
Wadau kwa taarifa yenu ummu kulthum ndiye mchumba wangu mtarajiwa na kama alivyosema mwenyewe mimi na mdogo wangu Young_Master ndio wadhamini wa huu mtanange.
Ni muhimu kukumbuka vionjo alivyovisema bibie kwa umakini mkubwa. Kumbuka pia lazima mzingatie kuwa avatar iwe pia na vionjo vitakavyonifanya nihisi kwamba kweli nimepata mtoto mashalaah.
Tahadhari: Huu si ukumbi wa kutongozana wala kupeana promise. Lete maoni yako au avatar.
Here we go!
Wakatabahu platozoom
JF FOUNDER
platozoom mama angu weee!!mbona umetiririka sana si ilikuwa bado.............basi bana nakubali yaisheWadau kwa taarifa yenu ummu kulthum ndiye mchumba wangu mtarajiwa na kama alivyosema mwenyewe mimi na mdogo wangu Young_Master ndio wadhamini wa huu mtanange.
Ni muhimu kukumbuka vionjo alivyovisema bibie kwa umakini mkubwa. Kumbuka pia lazima mzingatie kuwa avatar iwe pia na vionjo vitakavyonifanya nihisi kwamba kweli nimepata mtoto mashalaah.
Tahadhari: Huu si ukumbi wa kutongozana wala kupeana promise. Lete maoni yako au avatar.
Here we go!
Wakatabahu platozoom
JF FOUNDER
erick52 vigezo na masharti kuzingatiwa wadhamini wa shindano hili tayari wapo humu sa mbona hujafata masharti hapo juu wng.Hebu check hii
View attachment 59983
Hii ni maalumu kwa ajili ya kumkumbuka bibie wangu...pozi lake!
Kama hujaipenda sema nikue nyingine chap
Kama hujaipenda jaribu hiziHebu check hii
View attachment 59983
Hii ni maalumu kwa ajili ya kumkumbuka bibie wangu...pozi lake!
Kama hujaipenda sema nikue nyingine chap
Hilo ndilo muhimu. Mambo ya zamani ya nini? itifaki ndeeeeefu
Wadau kwa taarifa yenu ummu kulthum ndiye mchumba wangu mtarajiwa na kama alivyosema mwenyewe mimi na mdogo wangu Young_Master ndio wadhamini wa huu mtanange.
Ni muhimu kukumbuka vionjo alivyovisema bibie kwa umakini mkubwa. Kumbuka pia lazima mzingatie kuwa avatar iwe pia na vionjo vitakavyonifanya nihisi kwamba kweli nimepata mtoto mashalaah.
Tahadhari: Huu si ukumbi wa kutongozana wala kupeana promise. Lete maoni yako au avatar.
Here we go!
Wakatabahu platozoom
JF FOUNDER
ok poa sasa, ni hatua ya kusubiri vitu vyako bana
Kama wadhamini wote Young_Master na platozoom ni vya pombe then unataka ushungi wa nini?
Au hujajua kama Platozoom ni mzee wa Tilalilaaaaaaa?
Kwani specific accurate zawadi umedeclare ni nini? Ukiacha mbali na hizo mambinja , nderemo na etc
Kama hujaipenda jaribu hizi
View attachment 59985View attachment 59986View attachment 59987View attachment 59988View attachment 59989View attachment 59990
Au Kama unawapenda watoto check na hawa wawili chap
View attachment 59991 AuView attachment 59992
Kama hata hapo umekosa basi niambie nikupe za mwisho!