Tangazo Muhimu kwa Wote Wenye...

Tangazo Muhimu kwa Wote Wenye...

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,230
Kama una mke, mpenz, demu, buzi au king'asti, hakikisha usiku wa tarehe 14 mwezi huu mnakuwa pamoja ili kuzima pamoja mapenzi ya Analojia na kuwasha mfumo mpya wa mapenz ya Digital yasiyo na chenga za usaliti. Usisahau kinga kama king'amuzi kipya cha mapenzi ya Digital!
 
Nashukuru kwa tangazo kuu maalum. Kwahiyo tamasha hilo litafanyika pande za wapi?
 
Nitajifungia ndani siku hiyo na kusingizia naumwa.....naona dalili zote za kufumwa!!!!
 
Mapenzi ya DIGITALI yanaweza yakanipoteza mie!!!!
Acha niendelee kubaki ANALOJIA.
 
Back
Top Bottom