Tangazo = Fedha
Kama muundo wa lugha umekosewa kosa sio la ubao wa matangazo, bali kosa ni la mwandishi wa tangazo.
Katika hili sioni kama JF wana la kulaumiwa, kama mshiko washalamba na tangazo limewekwa.
Vigezo muhimu amavyo huwa najua vinatakiwa(sio JF tu, bali hata kwa sites nyingine) ni vya kiufundi zaidi mathalani "format ya picha ie jpg, png, gif etc", "size ya picha in pixels, cm, inches etc", content ya tangazo isiwe na violations zozote au maslahi yoyote kinyume.
Ukilaumu JF kwa tangazo lenye kosa unaloliona humu, basi laumu na posts zenye makosa ya kisarufi zinazopewa nafasi pia humu.