mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,585 Mar 2, 2018 #1 ni nani aliamua kuwatengenezea tangazo la ajabu namna ile linaanza watoto wanapiga makelele wanalia clinic. mimi naamini usawa umebanwa mpaka mnatoa matangazo ya bei rahisi namna hii,kama yale matangazo ya magodoro ni ujinga sana mmefanya.
ni nani aliamua kuwatengenezea tangazo la ajabu namna ile linaanza watoto wanapiga makelele wanalia clinic. mimi naamini usawa umebanwa mpaka mnatoa matangazo ya bei rahisi namna hii,kama yale matangazo ya magodoro ni ujinga sana mmefanya.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,745 Reaction score 25,678 Mar 2, 2018 #2 Ngoja waje
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,953 Mar 2, 2018 #3 mkorinto said: ni nani aliamua kuwatengenezea tangazo la ajabu namna ile linaanza watoto wanapiga makelele wanalia clinic. mimi naamini usawa umebanwa mpaka mnatoa matangazo ya bei rahisi namna hii,kama yale matangazo ya magodoro ni ujinga sana mmefanya. Click to expand... wewe ndo wa ajabu...nini hiki???
mkorinto said: ni nani aliamua kuwatengenezea tangazo la ajabu namna ile linaanza watoto wanapiga makelele wanalia clinic. mimi naamini usawa umebanwa mpaka mnatoa matangazo ya bei rahisi namna hii,kama yale matangazo ya magodoro ni ujinga sana mmefanya. Click to expand... wewe ndo wa ajabu...nini hiki???
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,313 Reaction score 35,896 Mar 2, 2018 #4 Mbona tangazo linaeleweka. Kisichoeleweka pale Ni nini?
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,585 Mar 2, 2018 Thread starter #5 scorpio me said: wewe ndo wa ajabu...nini hiki??? Click to expand... uzi wa kuwaelekeza voda
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,585 Mar 2, 2018 Thread starter #6 Makiseo said: Mbona tangazo linaeleweka. Kisichoeleweka pale Ni nini? Click to expand... kilio cha watoto clinic.
Makiseo said: Mbona tangazo linaeleweka. Kisichoeleweka pale Ni nini? Click to expand... kilio cha watoto clinic.
McRiyckeel JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 2,129 Reaction score 12,639 Mar 2, 2018 #7 scorpio me said: wewe ndo wa ajabu...nini hiki??? Click to expand... nakuona scorpio me katika ubora wako
scorpio me said: wewe ndo wa ajabu...nini hiki??? Click to expand... nakuona scorpio me katika ubora wako