Tangazo la usaili 1- 5 0ctober 2012

kilaboy

Senior Member
Dec 11, 2011
148
225
WAUNGWANA NAOMBA MSAADA WENU,

NAJARIBU KUFUNGUA HII DUCUMENT ILA KILA NIKIFUFUNGUA NAAMBIWA FILE ERROR.
NAOMBA MNISAIDIE KULIFUNGUA THEN KAMA UTAFANIKIWA UNIWEKEE HUMU.
FILE LIPO KWENYE SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA


thanks
 

bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,385
2,000
Haya sasa fungua hilo hapo nimeshakuatachia, all the best Mungu akutangulie
 

Attachments

  • File size
    3.8 MB
    Views
    1,759

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom