Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Wapendwa ktk JF,
kila nikifungua ukurasa, hili tangazo linatokea, kibaya zaidi linajaa screen nzima ya simu, kitu ambacho inabidi nihamishe wazo langu kuelekea kuliondoa kwanza,
mi naona bora wangelipunguza lisiwe linajaa kioo cha simu, labda ka kimeo kangu, sijui nyie!