Tangazo la Tanesco kwenye Twitter

ha ha ha ha ha ha ha!!! huyo ni mtu wa kawaida na wala sio official page ya TANESCO.
 
Hahahahah Kiazi mmoja hivi nilishawahi hadi kutukanana nae huko Twittani, nikajua official page yao nikatoa kero yangu nashangaa nilijibiwa kuny.a nikampa za USO vaba
 
tehe teheeeee unaeza jua officiak page
 
Hii kabiashara ka umeme mi naonaga kama kako kwenye sakarati ka mauti au ka nusu kaputimaana kakero tu
 
You know what i mean ?????

hii ni slogan ya jamaa kubwakubwa hii inawezekana ni yeye
 
Yawezekana ni mzee wa you now, I mean I mean le mutuz
 
The man created this Account is very funny
 

Attachments

  • 1414781018421.jpg
    44.2 KB · Views: 337
Tanesco ni kampuni bora kabisa ambayo inaangaza maisha ya mtanzania na kuyafanya yawe bora
 
hahaaaa.. uwiii. this is happening only in dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…