C Chemwali JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 397 Reaction score 178 May 22, 2013 #1 Wiki iliyopita niliona tangazo la biashara la duka la laptops na bei zake + maelezo ya bidhaa..duka lipo JM Mall 1st floor nimesahau jina la duka lenyewe..mwenye kuwajua anipe hints nisije nikaingia kichwa kichwa kumbe ni wale wale wa kariakoo
Wiki iliyopita niliona tangazo la biashara la duka la laptops na bei zake + maelezo ya bidhaa..duka lipo JM Mall 1st floor nimesahau jina la duka lenyewe..mwenye kuwajua anipe hints nisije nikaingia kichwa kichwa kumbe ni wale wale wa kariakoo