Tangazo la Shule

Wernery G Kapinga

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
294
Points
225
Wernery G Kapinga

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
294 225
Jimbo Katoliki la Ifakara linawatangazia watanzania wote kuwa, limefungua shule mpya ya Sekondari iliyosajiliwa kwa jina la ST. RAPHAEL SECONDARY SCHOOL na kupewa namba ya Usajili S.5061.

Kwa sasa inatangaza nafasi za masomo kwa PRE-FORM ONE kwa jinsi zote, yatakayoanza tarehe 21-09-2019. Masomo hayo yatafanyika kwa miezi 3 Hadi mwezi wa 12.

Ada kwa wanafunzi wa Bweni ni 250,000/= kwa miezi yote 3. Na kwa wanafunzi wa kutwa ni 150,000/= kwa miezi yote 3.

Fomu zinapatikana katika parokia zote za Jimbo Katoliki la Ifakara au wasiliana;

Katibu wa elimu: 0716614466
Mkuu wa Shule: 0621538913

Shule ipo Kibaoni Ifakara mjini. Shule ipo katika mazingira mazuri ya kujisomea na miundombinu rafiki kwa kila mwanafunzi.

Karibuni Nyote, kwa elimu na Malezi Bora.
 

Forum statistics

Threads 1,324,577
Members 508,741
Posts 32,166,721
Top