ZEE BABA
Senior Member
- Jan 19, 2011
- 169
- 59
wakuu wa JF naomba mnisaidie maana hizi shule tulizosoma kiingereza kilifundishwa kwa KINYAKYUSA,Lile tangazo la Masako kuhusu shule ya Fountain gate kama sijakosea lakini anamalizia kwa kutoa tafsiri ya A BRIDGE TO SUCCESS kuwa na kisima cha mafanikio,pia lipo jingine anasema ENGLISH MEDIUM anaitamka Medium kama inavyoaandikwa...hivi hii ni sawa wakuu?
KINYAKYUSA SKULI ni shule
SPUNI ni kijiko
Pengine masako nae alisoma kama mimi ,kiingereza kwa kinyakyusa
KINYAKYUSA SKULI ni shule
SPUNI ni kijiko
Pengine masako nae alisoma kama mimi ,kiingereza kwa kinyakyusa