🔷 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY 🔷
---
GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY, taasisi inayoongoza kwa huduma za kibunifu za kiteknolojia na kifedha, ikiwa ni kampuni na benki ya kisasa yenye makao makuu Bugarika, Mwanza – Tanzania, inatangaza nafasi za kazi kwa watanzania wanaoishi ndani ya Jiji la Mwanza pekee.
Mwisho wa kutuma maombi: Tarehe 14 Agosti 2025
---
📌 NAFASI ZA KAZI ZINAZOPATIKANA:
🏦 1. Idara ya Teknolojia (Technology Department)
Mhandisi wa Programu (Software Engineer) – Nafasi 4
Msimamizi wa Mifumo ya Kibenki (Bank Systems Admin) – Nafasi 2
Mtaalamu wa Usalama Mtandao (Cybersecurity Specialist) – Nafasi 2
📣 2. Idara ya Masoko na Huduma kwa Wateja
Mtaalamu wa Masoko ya Kidigitali (Digital Marketing Officer) – Nafasi 3
Afisa Huduma kwa Wateja (Customer Support Officer) – Nafasi 4
💰 3. Idara ya Fedha na Uhasibu
Mhasibu Mkuu (Chief Accountant) – Nafasi 1
Afisa Malipo (Payments Officer) – Nafasi 2
🏛 4. Idara ya Utawala
Katibu/Msaidizi wa Ofisi (Office Secretary) – Nafasi 2
Meneja Rasilimali Watu (Human Resources Manager) – Nafasi 1
Mtaalamu wa Sheria (Legal Officer) – Nafasi 1
Dereva wa Kampuni (Company Driver) – Nafasi 1
Mhudumu wa Usafi (Cleaner) – Nafasi 1
---
✅ SIFA ZA WAOMBAJI:
Awe Mkazi wa Mkoa wa Mwanza, kipaumbele kwa wanaoishi karibu na Bugarika
Umri kati ya miaka 20 hadi 45
Awe na elimu ya taaluma husika kulingana na nafasi anayoomba
Uwezo wa kuwasiliana vizuri kwa maandishi na mazungumzo
Uzoefu ni faida, lakini si lazima kwa kila nafasi
Uaminifu, nidhamu, bidii, na kuheshimu maadili ya kikazi ni sifa kuu
Uwezo wa kutumia kompyuta, intaneti na mifumo ya kidigitali ni lazima kwa nafasi nyingi
---
📨 JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
Tuma barua yako ya maombi ya kazi pamoja na:
CV (Wasifu binafsi)
Nakala ya vyeti vya kitaaluma
Barua ya utambulisho au mapendekezo (kama unayo)
Kwa njia ya barua pepe ifuatayo:
📧 georgemasambu62@gmail.com
---
⚠️ MAELEZO MUHIMU:
Mwisho wa kutuma maombi: 14/08/2025 saa 11:59 jioni
Maombi ya nje ya mkoa wa Mwanza hayatapokelewa
Maombi yaliyowasilishwa baada ya tarehe tajwa hayatafanyiwa kazi
Waombaji waliopitishwa watapigiwa au kutumiwa email kwa ajili ya usaili
---
Kwa neema ya Yesu Kristo Mungu Mkuu, GPMSC inawakaribisha watu waaminifu, wachapakazi, wabunifu, na wenye maono ya kuinua taifa kupitia teknolojia na huduma za kifedha.
✍🏽 Imetolewa na:
George Joseph Masambu (mg)
Founder & CEO – GPMSC Technology & Banking Company
📍 Bugarika, Mwanza – Tanzania

Mfano: Maombi ya Nafasi ya Meneja Rasilimali Watu⚠️ Andika nafasi unayoomba kwenye kichwa cha email (subject).