TRC kutakuwa kusafi sasa, maana kulikuwa kama Dampo la Taifa.Mali hazitumiki wanazikalia mpaka zinakuwa kutu inawasaidia nini. KONGOLE alietoa wazo la kuuza hizo takataka zilizorundikana miaka na miaka.Msisahau nguzo za porini za zamani.
Muwashauri na TAZARA wauze takataka zisizotumika.Wenzetu wazungu wakiona kitu hakitumiki tena wanakitoa msaada Afrika sisi huwa tunarundika.
Serikali ingeuza vifaa mfu vyote ktk taasisi zake zote, zikawafie wananchi mbele.