K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Feb 25, 2010 #1 Jana katika pita pita zangu huko Kigogo kwa Bint Kahenga nimekutana na Tangazo la mganga kutoka Moshi, nimeshangaa sana mie nishazoea matangoza ya mganga toka Sumbawanga, Tanga, Bagamoyo, Usukumani na Nigeria!! kumbe ata Moshi wapo!!
Jana katika pita pita zangu huko Kigogo kwa Bint Kahenga nimekutana na Tangazo la mganga kutoka Moshi, nimeshangaa sana mie nishazoea matangoza ya mganga toka Sumbawanga, Tanga, Bagamoyo, Usukumani na Nigeria!! kumbe ata Moshi wapo!!
PJ JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 297 Reaction score 32 Feb 25, 2010 #2 Wajinga ndio waliwao