your thred lacks info, imekaa kiuongo sana. toa maelezo zaidi
Ukumbuke kwamba kama ni utani weka mambo yajulikane waazi kwamba ni utani. Usiwaumize vichwa watu kutafakari kumbe wewe huna kitu cha kuchangia. Watu wameumizwa kutokana na ajali ama wao wenyewe au ndugu zao na wengine hivi sasa wako kwenye misiba itokanayo na ajali hizo. Try to take serious issues seriously kijana.
Leka
Leka
we wa wapi wewe? huoni imekuwa postedf ktk jokes?au ndo umelazimishwa kuingia ktk thread ya jokes? we seems mpenda umbea nenda ktk sisa!
mi naona yana kichaa cha kwenye mbuzi cha kwenda kumchungulia adui, si yangekuwa yanaahirisha safari?Ni mabasi ya kisasa ambayo ni " AUTOMATIC" kwa kila kitu,
endapo kuna ajali linasimama automatically abiria mnashuka
halafu linaenda hadi panapo tukio linaanguka au kugongana
na gari jingine likiwa tupu. Karibuni sana wateja ili kuondoa vifo vitokanavyo na ajali.
naona kama vile unajisema wewe vile coz upo kwenye thread ya udaku lakini bado tu unataka kuelewa sana, kama unaona haichekeshi na wala haipo kwenye udaku si unauchuna tu ...!!inabidi kila new member apewe maelezo ya ziada, inaonekana watu hawajui siasa ni nini, jokes ni nini au tuseme hawajui kuitumia hii blog. mkuu jaribu kuelimisha watu kama tatizo ni lugha basi wafikirie.
Sasa kama linaweza kujua kuhusu ajali kwanini liende kujigongesha this is crazy. Kwanini lisirudi lilikotoka kikwepa hiyo ajali? Hawajui lolote hao wadanganyifu tuu.