Nikweli kabisa. Sijawahi kuona habari ikiangaliwa nje na ITV. Hata mie mwenyewe siwezi kuweka tbc wa star tv au nyinginezo. Najua ITV nitapata habari za ACT, CHADEMA + UKAWA, CCM, CHAUMA etc.
viva lowasaa..viva ukawaa..!ndugu zangu nimeamini kweli mabadiliko yanakuja baada ya kusikia tangazo linalo mnadi lowassa clouds fm.
Ninaamini kama ni enzi zile hakuna redio wala chombo chochote cha habari kingekubali kupokea tangazo la kumnadi mgombea wa upinzani. Japo ni biashara.
Go lowassa go mungu ibariki tanzania, mungu mbariki lowassa.
Hata clouds lipo.wamechungulia mbele wakaona tatu bila wameona bora yaishe.bado star tv na RFA.Sio clouds ni Magic fm ndio lipo hilo tangazo.
Unaposema ndio most viewed/watched una ushahidi gani? Au hisia zako zinakutuma ndo ukajua kila mtu anaangalia ITV. KUmbuka, "No research, no rights to speak".
Ha ha ha!!Kipaombele cha kwanza Elimu chapili Elimu na cha tatu Elimu. Inakuhusu sana Mdau
Halafu nani alikwambia kukaa bar ni kulewa?
Ndugu ninkaa sana Kwenye Ma bar, Kipindi cha nyuma walikua Taarifa ya habari ilikua lazima waweke TBC, lakini baada ya kuonekana mwenendo wake kipindi hiki cha campaign sijawahi kuona Bar yoyote inaweka Taarifa ya habari TBC. siandiki kishabiki naandika ukweli na Mungu ndio shahidi wangu
Kama kubarikiwa alishabarikiwa, abarikiwe mara ngapi, kubarikiwa sio lazima awe President
Na Wengi Wanaokaa Huko Baa Ni Wachaga AMBAO Wengi Wao MTUME Wao Ni Mbowe Wewe Na Wanaipennda ITV Kwa Kuwa Pia Ni Ya Ndugu Yao Mwingine Mr. Neutral Ze Big Noise Hivyo Kuna Ka Element Ka UKANDA. Wewe Ulitegemea Wachaga Waangalie Channel Gani Labda Badala Ya ITV Ya KIKABILA?
Acha promo hakuna anaeangalia Itv labda wafuasi wa lowassa na habari za lowassa zikiisha wanatimka.kuna uzi humu unazungumzia hilo
ITV kiukweli wanatangaza vizuri habari za Lowasa sana sana Spencer Lameck
Kwahiyo Hata " KUNYA " Hovyo MAJUKWAANI Kama Kule Geita, Chato Na Kidogo Tanga Napo Ni " KUBARIKIWA " Mmmmmh Kama Mwenyezi Mungu Huyu Huyu Tunayemwabudu 24/7 Anawabariki " WANYAJI " Basi Itanibidi Nimtafute Mungu Wa UKWELI.
Hiyo Spencer Lameck Ni Mashine Gani?
Hiyo Spencer Lameck Ni Mashine Gani?