Ukawa Bwana,sasa Ulitaka Aongeaje?Ulitaka Aongee Kama Yupo Jukwaani?Mbona Hata Lowassa Tangazo Lake Magic Na Channel Ten Anaongea Kihuruma?
sawa tufanye yaishe kaka TONY ANTONY. ila karibu ukawa mabadiliko yanakuhitaji my brother
Ndugu zangu nimeamini kweli mabadiliko yanakuja baada ya kusikia tangazo linalo mnadi Lowassa Clouds FM.
Ninaamini kama ni enzi zile hakuna redio wala chombo chochote cha habari kingekubali kupokea Tangazo la kumnadi mgombea wa upinzani. Japo ni Biashara.
Go Lowassa go Mungu ibariki Tanzania, mungu mbariki Lowassa.
We pimbi mabadiliko gani wakati jamaa hana hata ujasiri wa kutamka neno rushwa au ufisadi? Ama kweli kuna watanzania mazuzu
Wanaobisha watuambie ni tv gani watu wanaangalia zaidi hapa tz
Ufisadi uko kwenye kiini cha matatizo ya watanzania..hata ukiwekeza kwenye elimu, kilimo etc bila kushugulikia rushwa na ufisadi, unafanya kazi bure.Kwahiyo Magufuli anavyotamka majizi na mafisadi ndio anakupa imani yeye sio fisadi? ulivyonitukana mimi na watanznia na wewe hivyo hivyo
Rejea post yangu hapo juu
Ukiacha ulevi akili yako itaanza kufanya kazi sawasawa, na macho yako yataacha kuona maluweluwe.Ndugu ninkaa sana Kwenye Ma bar...
Ufisadi uko kwenye kiini cha matatizo ya watanzania..hata ukiwekeza kwenye elimu, kilimo etc bila kushugulikia rushwa na ufisadi, unafanya kazi bure.
Lowassa amegoma kutamka kuwa atapambana na mafisadi..hili linanipa wasiwasi mkubwa sana..nakuonea huruma pia wewe
I Only Believe Where I Am Now,i Can Get Those Changes."Chadema Ilikuwa Vizuri,lakini Chadema Haipo Vizuri".Vitu Viwili Tofauti Hapo,Past Na Present....!!
Safari hii hawachomoki.Hadi sasa wana-play catch up game.