Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
Sasa ni TV gani inaangaliwa zaidi Tanzania kuliko itv? Au kwako ni tbc?Unaposema ndio most viewed/watched una ushahidi gani? Au hisia zako zinakutuma ndo ukajua kila mtu anaangalia ITV. KUmbuka, "No research, no rights to speak".
We pimbi mabadiliko gani wakati jamaa hana hata ujasiri wa kutamka neno rushwa au ufisadi? Ama kweli kuna watanzania mazuzu
Sio clouds ni Magic fm ndio lipo hilo tangazo.
Ndugu zangu nimeamini kweli mabadiliko yanakuja baada ya kusikia tangazo linalo mnadi Lowassa Clouds FM.
Ninaamini kama ni enzi zile hakuna redio wala chombo chochote cha habari kingekubali kupokea Tangazo la kumnadi mgombea wa upinzani. Japo ni Biashara.
Go Lowassa go Mungu ibariki Tanzania, mungu mbariki Lowassa.
We pimbi mabadiliko gani wakati jamaa hana hata ujasiri wa kutamka neno rushwa au ufisadi? Ama kweli kuna watanzania mazuzu
Unaposema ndio most viewed/watched una ushahidi gani? Au hisia zako zinakutuma ndo ukajua kila mtu anaangalia ITV. KUmbuka, "No research, no rights to speak".
Unaposema ndio most viewed/watched una ushahidi gani? Au hisia zako zinakutuma ndo ukajua kila mtu anaangalia ITV. KUmbuka, "No research, no rights to speak".
Hao superbrand ndio nani!! Hawawezi kuwa ndiyo kigezo pekee ndg yangu. Na usishangae wakawa na influence na hiyo station au wakawa na bias. Watokee na wengine watoe utafiti wao kwa vigezo vinavyakubalika kiutafiti, siyo maoni tu binafsi mnatuletea mkadhani ndiyo ya Watanzania wote
Mbona jibu ni jepesi!ITV NI SUPER BRAND NUMBER MOJA NYAU NINYI.
Umekosea kusema sio clouds ilipaswa useme na magic pia wanatangaza hilo tangazo kwani mimi nimelisikia clouds
Ndugu ninkaa sana Kwenye Ma bar, Kipindi cha nyuma walikua Taarifa ya habari ilikua lazima waweke TBC, lakini baada ya kuonekana mwenendo wake kipindi hiki cha campaign sijawahi kuona Bar yoyote inaweka Taarifa ya habari TBC. siandiki kishabiki naandika ukweli na Mungu ndio shahidi wangu
Hao superbrand ndio nani!! Hawawezi kuwa ndiyo kigezo pekee ndg yangu. Na usishangae wakawa na influence na hiyo station au wakawa na bias. Watokee na wengine watoe utafiti wao kwa vigezo vinavyakubalika kiutafiti, siyo maoni tu binafsi mnatuletea mkadhani ndiyo ya Watanzania wote
clouds nao wamekubali mabadiliko.. kuna kampeni moja ya magufuri pale clouds anavyoongea ni kama amekata tamaa anaomba huruma ya wananchi.. lakini too late tupo ukawa
Unaposema ndio most viewed/watched una ushahidi gani? Au hisia zako zinakutuma ndo ukajua kila mtu anaangalia ITV. KUmbuka, "No research, no rights to speak".