Tangazo la kutuma vyeti limeondolewa?

Tangazo la kutuma vyeti limeondolewa?

mavela

Senior Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
149
Reaction score
66
Wadau habari?
Leo nimetembelea tovuti ya wizara ya elimu ili nilisome upya lile tangazo la wahitimu wa mafunzo ya ualimu wa masomo ya sayansi wa mwaka 2015 lililowataka kutuma vyeti hadi kufikia tarehe 16 December. Lakini cha ajabu tangazo lenyewe sijaliona.

Nauliza; je, limeondolewa kwenye tovuti hii? http://moe.go.tz/sw/component/k2/it...ya-sayansi-na-hisabati-kwa-shule-za-sekondari

Mwenye majibu tafadhali
1482146016793.png
 
Ni sawa kama limeondolewa kwani limeshapita muda wake,hakuna tatizo katika hilo.
 
asee pole muda usha kwisha wa taarifa hio tunasubir taarifa nyingine cc
 
Labda anamaanisha kitu kingine hata kama ni wewe lazma ujiulize maana matangazo mengine huwa hayatolewi
 
Hapa lengo n kubana matumizi uwezi toa mda wa siku 3 kutuma vyeti n ajabu sana
 
Back
Top Bottom