makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,371
Hivi hii ya KADCO ndio basi tena?
Mkuu Kuna wadau hapa wanasubiri, TASAF na TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA. Usisahau kuwapa updates.Orodha ya majina ya waliomba nafasi za kazi kupitia utumishi za Marine services company limited (MSCL)View attachment 1406643
Sent using Jamii Forums mobile app
Financial umepotelea wapi mkuuThank you for sharing and all the best kwa mliopata nafasi ya kuhudhuria interview.
Nipo mkuu, habari yako!, vipi naweza pata hata kibarua huko kwenye makampuni yako meneja??๐Financial umepotelea wapi mkuu
Safi mkuu, umepotea sana. Mkuu nafasi zipo ila utaweza kazi zetu. Tufanya kazi za akina LAIZER saiviNipo mkuu, habari yako!, vipi naweza pata hata kibarua huko kwenye makampuni yako meneja??๐
Ntaweza mkuu,Tena hizo kazi za kina laizer ndiyo zenyewe sasa๐๐ ubilionea huu hapa.Safi mkuu, umepotea sana. Mkuu nafasi zipo ila utaweza kazi zetu. Tufanya kazi za akina LAIZER saivi
HahahahaaaaaaaNtaweza mkuu,Tena hizo kazi za kina laizer ndiyo zenyewe sasa๐๐ ubilionea huu hapa.
Wewe upo??Nipo mkuu, habari yako!, vipi naweza pata hata kibarua huko kwenye makampuni yako meneja??
Nipo hujambo!Wewe upo??
Cjamboo,, adimu sana wwNipo hujambo!