Tangazo la kazi wizara ya mifugo la tar 18 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la kazi wizara ya mifugo la tar 18

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by PAFKI, Nov 21, 2011.

  1. P

    PAFKI Senior Member

    #1
    Nov 21, 2011
    Joined: Sep 30, 2011
    Messages: 116
    Likes Received: 31
    Trophy Points: 45
    Wana JF nawaomba aliye na tangazo la kazi zilizzotangazwa na wizara ya mifugo kwenywe gazeti la dailynews la tar 18 11 2011 aniamie nashida ya kuaply kazi hizo,au mwenye kuwa nalo anitumie private kwa kutumia JF sms nitampigia anijuze.
     
  2. jogi

    jogi JF-Expert Member

    #2
    Dec 7, 2011
    Joined: Sep 25, 2010
    Messages: 19,335
    Likes Received: 12,799
    Trophy Points: 280
    fuata hii link Powered by Google Docs
     
  3. M

    Mfwalamanyambi JF-Expert Member

    #3
    Dec 7, 2011
    Joined: Dec 18, 2010
    Messages: 434
    Likes Received: 10
    Trophy Points: 35
    Wahi ku_apply kwa kuwa muda unaisha. Nafasi zilizotangazwa ni Daktari Utafiti Mifugo II kufanya kazi kwenye vituo vya itafiti (nafasi 5), Daktari Mifugo II kufanya kazi MC, TC, DC, RAS na VIC (nafasi 47), Daktari Mkufunzi Mifugo II kufundisha LITIs (nafasi 5), Afisa Mifugo II kufanya kazi DC, RAS na Ranch (nafasi 128), Afisa Utafiti Mifugo II (nafasi 2).
     
Loading...