chekechea wanalipa ngapiKazi inayozidi kupoteza umaarufu kila uchao
aisee hii Hatari sana kwa kweliShule ya sekondari St Patrick Hill School Kiserian iliyopo Kiserian nchini Kenya inatangaza nafasi za kazi kwa walimu.
Mshahara ni shilingi 350,000 kwa mwezi. Tafadhali fahamu kuwa mshahara hautalipwa wakati wa likizo za shule katika miezi ya Aprili, Agosti na Desemba.
Kwa maelezo zaidi au kuwasilisha maombi, wasiliana kupitia namba: +254 721 169 827.
si yangu mwenyewe anaitwa kangethe nilimfanyia kazi nikamtorokaIngekuwa live, ulistahili kofi la usoni, tuna shida sana ila nyie maboss mnatukandamiza kwa kweli, duhhh
Dah pole sana mkuusi yangu mwenyewe anaitwa kangethe nilimfanyia kazi nikamtoroka
Nadhani ni Ksh siunaona ni nyingi hadi likizo hawalipi350000Tsh au Kenya money?
Hapo sawa lakini kama ni fedha ya kitz mara 100 ubaki tz tu uendelee kukimbiza boda bodaIt
Nadhani ni Ksh siunaona ni nyingi hadi likizo hawalipi
TSH350000Tsh au Kenya money?
Aisee!
walimu wanamtoroka kila uchaoAisee!
Huyu bwana kathenge mbona analipa mshahara kidogo sana?
Ni haki wamkimbie maana sio kwa mshahara huo aisee.walimu wanamtoroka kila uchao