Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Tangazo la ITV la kumkaribisha Rais wa Marekani Mheshimiwa Barrack Obama linaniacha mdomo wazi pale wanapomtaja mke Raisi Michelle Obama kama "Mrs" badala ya "First Lady".
Yuko mbele ya wanawake wote Marekani na ni mfano mzuri wa kuigwa "Roll Model" kwa wamama na watoto.
She is a quality role model for women and girls na tayari amejiwekea historia ya kipekee duniani.
Naona wamekosa umakini katika kuhariri tangazo hili ki-Diplomasia na hivyo kumshushia heshima Mama huyu.