kwenda mwezini ni jambo jema sana. lakini kusema wenzako wana sura mbaya si jema. kwani wewe ni nani? wewe si MUngu
Tatizo sio sura mbaya tatizo kuridhishwa kitandani, we kuwa na shalobaro anagonga hata ufiki kileleni anamaliza kama ujaja kwa sura mbaya wanasimamia hadi kucha, hapo mwanamke nje haendi na michepuko inatoweka
Kuulewa sio tatzo,tatzo je litafanikiwa wafikia walengwa wote na onesha postve results?huna muonekAno mzur unategeme watu watakuangalia????
Acha wivu
Mkuu Kiboko, natofautiana na wewe, Kobonde yuko good na tangazo liko bomba sana, ujumbe umewafikia wengi mimi nikiwa ni mmoja wapo wa walioguswa na kuamua kupunguza michepuko nikielekea kwenye kuacha kabisa!.
TV zilipoanza, sura nzuri na muonekano mzuri kwenye TV screen vilikuwa vigezo, hivyo matangazo ya TV waliwatumia top models, beauty qeens na ma HB only!. Enzi hizo hata wasoma habari wote ilikuwa ni lazima ku shave ndevu!.
Sasa tuko kwenye modern word, kinachomater kwenye tangazo zuri, sio sura, muonekano, au urembo, bali "the power behind!", mtu ukiwa al maarufu, haijalishi sura yako ikoje, kama unaweza kuwasilisha hoja vizuri na ikakubalika, then you are the man kwa tangazo!, sio sura, sio dental formular ni ujumbe na umefika!.
Labda kama una matatizo yako mengine ya kutomkubali Kibonde kwa mengine, hivyo kujikuta unamchukia bure!. Hebu lifikirie lile tangazo la Ben Mkapa na mambo ya watoto!, unaweza kulilinganisha na la Kibonde?!. Tangazo la Kibonde la michepuko ni moja kati ya matangazo mazuri sana!.
Kwa upande wangu, labda kwa sababu nafahamiana na Kibonde personally na naijua status as far as michepuko is concerned, tangazo hilo kwangu is even more powerful and inspires changes za kuacha michepuko, unapohubiriwa na "wazee wa michepuko" kuacha michepuko!" ndio maana kiukweli kabisa, and this is not a joke!, nimeguswa na kupunguza michepuko!. Inaweza kubakia ile ya lazima tuu wakati wa safari za muda mrefu!.
Pasco.
Tumlilie KibondeNo way!, kinachomater kwenye tangazo its not look, its impact!. Tangazo lina a very big impact!, kwa sababu Kibonde ni public figure, well known, anauwezo wa kujieleza na anakubalika sana!.
Lingekuwa ni tangazo la kuuza bidhaa fulani, hapo ningekubaliana na wewe, use attractive face to draw attention ya mtazamaji, ndipo aione bidhaa yako!. Lile ni tangazo la "attitude change!", lazima lifanywe na mature person, public figure, local celeb, anayekubalika, atakayeleta impact kwa jamii!, Kibonde amefiti kwenye hizo idara zote!.
Mimi binafsi, Kibonde namkubali sana kama mtangazaji na ni mhamasishaji mzuri, ila pia anahitaji kujisomea vitabu na majarida kujiongeza maarifa, au kurudi tena shule kujiongeza elimu!", other wise katika idara nyingine zote yuko ok!.
Pasco.
Tumlilie Kibonde
RIP Ephraim Samson Kibonde
P.
Kijana wangu, video nayo ina sauti, hivyo kama hawatamuangalia basi watamsikia; Yaan mpaka wewe umekuja hapa na kumuelezea maana yake umeshmuona tayari(hukujizuia kumwangalia), Hivyo wamefanikiwahuna muonekAno mzur unategeme watu watakuangalia????