Tatizo sio sura mbaya tatizo kuridhishwa kitandani, we kuwa na shalobaro anagonga hata ufiki kileleni anamaliza kama ujaja kwa sura mbaya wanasimamia hadi kucha, hapo mwanamke nje haendi na michepuko inatoweka
sasa hiyo dental formula ndo imekufanya uliangalie hilo tangazo... Hii ina maana wamefanikiwa.Hawa jamaa cjui wametumia vigezo gani tu kumkabidhi ubalozi Ndugu Ephraim KIBONDE kutoa video advert ya tangazo hili ilihali dental formula yake haijakaa sawa na hana good visual kwa screen?
Mytake::upande wa audio sawa saut yake ipo juu bt sio kwenye Video kila nkikiona hlo tangazo nachefuka sana wakuu,,,achen ukiritimba wapeni ubaloz watu waliojaliwa kuwa na muomekano mzur ili wawez kuwa mabaloz wazur wa kitu huska...
Nawasilisha wakuuu
Hawa jamaa cjui wametumia vigezo gani tu kumkabidhi ubalozi Ndugu Ephraim KIBONDE kutoa video advert ya tangazo hili ilihali dental formula yake haijakaa sawa na hana good visual kwa screen?
Mytake::upande wa audio sawa saut yake ipo juu bt sio kwenye Video kila nkikiona hlo tangazo nachefuka sana wakuu,,,achen ukiritimba wapeni ubaloz watu waliojaliwa kuwa na muomekano mzur ili wawez kuwa mabaloz wazur wa kitu huska...
Nawasilisha wakuuu
Hata mm hzo tetes nlizisikia muda mrefu sana,na lisemalwo lipo kama halpo laja,i second u
Mkuu Kiboko, natofautiana na wewe, Kobonde yuko good na tangazo liko bomba sana, ujumbe umewafikia wengi mimi nikiwa ni mmoja wapo wa walioguswa na kuamua kupunguza michepuko nikielekea kwenye kuacha kabisa!.Hawa jamaa cjui wametumia vigezo gani tu kumkabidhi ubalozi Ndugu Ephraim KIBONDE kutoa video advert ya tangazo hili ilihali dental formula yake haijakaa sawa na hana good visual kwa screen?
Mytake::upande wa audio sawa saut yake ipo juu bt sio kwenye Video kila nkikiona hlo tangazo nachefuka sana wakuu,,,achen ukiritimba wapeni ubaloz watu waliojaliwa kuwa na muomekano mzur ili wawez kuwa mabaloz wazur wa kitu huska...
Nawasilisha wakuuu
labda kwa vile na yeye ni HIV positive ndo maana wameona wampe shavu hilo aendelee kuvuta vuta siku
Mkuu Kiboko, natofautiana na wewe, Kobonde yuko good na tangazo liko bomba sana, ujumbe umewafikia wengi mimi nikiwa ni mmoja wapo wa walioguswa na kuamua kupunguza michepuko nikielekea kwenye kuacha kabisa!.
TV zilipoanza, sura nzuri na muonekano mzuri kwenye TV screen vilikuwa vigezo, hivyo matangazo ya TV waliwatumia top models, beauty qeens na ma HB only!. Enzi hizo hata wasoma habari wote ilikuwa ni lazima ku shave ndevu!.
Sasa tuko kwenye modern word, kinachomater kwenye tangazo zuri, sio sura, muonekano, au urembo, bali "the power behind!", mtu ukiwa al maarufu, haijalishi sura yako ikoje, kama unaweza kuwasilisha hoja vizuri na ikakubalika, then you are the man kwa tangazo!, sio sura, sio dental formular ni ujumbe na umefika!.
Labda kama una matatizo yako mengine ya kutomkubali Kibonde kwa mengine, hivyo kujikuta unamchukia bure!. Hebu lifikirie lile tangazo la Ben Mkapa na mambo ya watoto!, unaweza kulilinganisha na la Kibonde?!. Tangazo la Kibonde la michepuko ni moja kati ya matangazo mazuri sana!.
Kwa upande wangu, labda kwa sababu nafahamiana na Kibonde personally na naijua status as far as michepuko is concerned, tangazo hilo kwangu is even more powerful and inspires changes za kuacha michepuko, unapohubiriwa na "wazee wa michepuko" kuacha michepuko!" ndio maana kiukweli kabisa, and this is not a joke!, nimeguswa na kupunguza michepuko!. Inaweza kubakia ile ya lazima tuu wakati wa safari za muda mrefu!.
Pasco.
No way!, kinachomater kwenye tangazo its not look, its impact!. Tangazo lina a very big impact!, kwa sababu Kibonde ni public figure, well known, anauwezo wa kujieleza na anakubalika sana!.Pasco acha kupepesa macho mkuuu ww sema tu unamapenz bnafs na huyo jamaaa bt wapo watu wangefaa sana simamia show,kuna uzi ukiwah wekwa hapa kwa kutaka kuelewa maana ya hyo tangazo na yote hiyo n kutotumika vzur kwa model,sura nzur au mwinekano poa ndo kla ktu kwenye advert za video
Wakuu michepuko sio dili huyu jamaa alijikuta ktka wakati mgumu baada ya kumchepukia mrembo wa mwenzie.
Mkuu pasco hapa napo umechepuka njia kuu asee! Sikubaliani na wewe kabisa kuwa kwenye modern world the power of appearance is useless in advertisement. Bado appearance ina mchango mkubwa sana hasa kwenye persuasive adverts.Sasa tuko kwenye modern word, kinachomater kwenye tangazo zuri, sio sura, muonekano, au urembo, bali "the power behind!", mtu ukiwa al maarufu, haijalishi sura yako ikoje, kama unaweza kuwasilisha hoja vizuri na ikakubalika, then you are the man kwa tangazo!, sio sura, sio dental formular ni ujumbe na umefika!.
Pasco.
Hawa jamaa cjui wametumia vigezo gani tu kumkabidhi ubalozi Ndugu Ephraim KIBONDE kutoa video advert ya tangazo hili ilihali dental formula yake haijakaa sawa na hana good visual kwa screen?
Mytake; Upande wa audio sawa saut yake ipo juu bt sio kwenye Video kila nkikiona hlo tangazo nachefuka sana wakuu,,,achen ukiritimba wapeni ubaloz watu waliojaliwa kuwa na muomekano mzur ili wawez kuwa mabaloz wazur wa kitu huska.
Nawasilisha wakuuu