Ujumbe uliomo ktk tangazo umeuelewa? Kama umeuelewa lengo limefanika.
Kuulewa sio tatzo,tatzo je litafanikiwa wafikia walengwa wote na onesha postve results?huna muonekAno mzur unategeme watu watakuangalia????
Kuulewa sio tatzo,tatzo je litafanikiwa wafikia walengwa wote na onesha postve results?huna muonekAno mzur unategeme watu watakuangalia????
Lengo kuu si kuangalia sura ama mvuto wa Kibonde,LENGO ni kuepuka michepuko simama Ktk njia kuu.
Usiangalie nani anatangaza wewe zingatia nini anakitangaza.
Ni kweli wale wenye Sura mbaya Ndio vinara wa Kuchepuka kwani hutumia Pesa kununua Love penzi limegeuka Kuwa Miladi ya wanawake wasio waaminifu hivyo watachepuka sana na Wanaume wakware wenye Sura Kama kivuri cha Ngisi ambao wapo Tayari kuzilaza familia zao njaa ili mladi atimize haja zake huko kwenye Mchepuko Chezea Sura mbaya wewe ....
...nimeipanda!
Kuna mdada moja ana sura mbaya sana imembidi anunue gari ili iwe rahisi kuwada ma.com, wanaopenda vya mteremko. "alikuwa analalamika eti waume hamtaki!"
Kuulewa sio tatzo,tatzo je litafanikiwa wafikia walengwa wote na onesha postve results?huna muonekAno mzur unategeme watu watakuangalia????