Tangazo la Ebola

Siamini kama kweli amesema. Nilikuwa namuona mtu mwenye busara ingawa ni kweli kula nyani ni makosa kiimani lakini kuwaita counsins!!!!!!mmmmm
 
Siamini kama kweli amesema. Nilikuwa namuona mtu mwenye busara ingawa ni kweli kula nyani ni makosa kiimani lakini kuwaita counsins!!!!!!mmmmm
Freedom tommorrow, kama wamjua Museveni vizuri ni kwamba ana busara ok, ila pia ni mtu mwenye very keen sense of humour. Anapenda sana kuchekesha! Hayo matamshi juu ya kukataza watu wasile nyani kwa sababu nindugu zetu yawezekana kabisa ilikuwa ni ucheshi tu kama ilivyo kawaida yake.
 
Last edited by a moderator:

Very likely kamanda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…