masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,408
- 14,113
Tangazo la kunadi unga wa Azam linatia kichefu chefu!
Kuna mtu anakula chapati na wakati huo huo anaongea!
Kinachotokea hapo kinaeleweka kwa mtu mstaarabu, mate kutemwa ovyo na chakula na mate yake kutoka mdomoni.
Kinyaa tupu.
Azam wanawajibu wa kutengeneza matangazo yenye kuonyesha tabia nzuri ya kula hasa mezani. Uswahili uswahili usitumike kujipatia faida bila kuonyesha wajibu kwa jamii.