Tangazo la CHADEMA leo Mwanza limeniacha njia panda

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
9,116
Reaction score
8,662
Muda wa SAA 8:15 mchana nikiwa maeneo ya Liberthi kuhemea bidhaa wakati naelekea Nyengezi round about ya Liberthi lilitokea gari la CHADEMA likiwa na bendera na speaker zikitangaza mkutano kesho tarehe 20/5/2015 kwamba mkutano utahutubiwa na Ezekiel Wenje na mbuge mtarajiwa wa Morogoro Afande Selle!! Ilifikia hatua nikawaza hivi leo ni siku ya wajinga duniani am a ndizo siasa za majitaka!!? Wakuu hili si jambo la kutania ni kweli kabisa na Mimi nafahamu Wenje ni CHADEMA wakati Afande Selle ni ACT WAZALENDO. Nilijaribu kulipiga picha lakini likawa limetokomea huku Mimi nikihofia kuibiwa mizigo na msukuma mkokoteni aliyekuwa ananipelekea mizigo stand ya Igombe Lwagasole ili ninyoke Nyengezi.
 
Chadema wamechanganyikiwa. Iko siku watatangaza Lowasa amejiunga na Ukawa
 
Nataka watu wa Mwanza walitolee ufafanuzi kwani limetokea maeneo ya Mabatini kuja mjini.
 
Attachments

  • 1432064299221.jpg
    1432064299221.jpg
    70.4 KB · Views: 1,510
Muda wa SAA 8:15 mchana nikiwa maeneo ya Liberthi kuhemea bidhaa wakati naelekea Nyengezi round about ya Liberthi lilitokea gari la CHADEMA likiwa na bendera na speaker zikitangaza mkutano kesho tarehe 20/5/2015 kwamba mkutano utahutubiwa na Ezekiel Wenje na mbuge mtarajiwa wa Morogoro Afande Selle!! Ilifikia hatua nikawaza hivi leo ni siku ya wajinga duniani am a ndizo siasa za majitaka!!? Wakuu hili si jambo la kutania ni kweli kabisa na Mimi nafahamu Wenje ni CHADEMA wakati Afande Selle ni ACT WAZALENDO. Nilijaribu kulipiga picha lakini likawa limetokomea huku Mimi nikihofia kuibiwa mizigo na msukuma mkokoteni aliyekuwa ananipelekea mizigo stand ya Igombe Lwagasole ili ninyoke Nyengezi.

eheee hadidhi yako inatufundisha niii
 
Chadema wamechanganyikiwa. Iko siku watatangaza Lowasa amejiunga na Ukawa

Hilo linaweza tokea ACT alipo na mwaliko sio.chadema afu ivi we laki si pesa unalipwa buku ngapi? kwasababu unavyohaha daaaa utafkiri changu aliyemiss siku zake
 
Hahahahaha Zito punguza kuwapelekesha hawa Bavicha na saccos yao
Zitto kakata tamaa hivi sasa kajichimbia kigoma Mjini jimbo analotarajia kugombea baada ya kuona hakuna uwezekano wa act kushinda majimbo sehemu yoyote Tanzania. Ameweka kambi kigoma angalao arudi bungeni yeye binafsi,wengine kila mmoja afe na lwake! Waliahidi wangeanza ziara ya mikoani awamu ya pili wiki iliyopita wakati wakina Mwigamba na yule Mama mwenyekiti 'kivuli'wamejiaandaa kwa ziara, Zitto akawapiga chenga akaenda kigoma kujiandalia mazingira ya yeye kushinda ubunge. Mwigamba atasubiri sana ameshapotezwa,Zitto atarejea bungeni na act kutakuwa chama cha mbunge mmoja kama ilivyo TLP na UDP hivi sasa. Jamani tuelezane ukweli pale act kumuondoa Zitto ni nani mwingine anaweza kushinda ubunge?
 
Watamfahamu vena Zitto. 100% sasa za kujijenga yeye.

Vijana wengi, akiwemo Zitto, Mnyika, Mdee, n.k. wamejengwa kisiasa na Chadema.

Nawahakikishieni kuwa ndani ya ACT Zitto tu, na maslahi yake.
 
Muda wa SAA 8:15 mchana nikiwa maeneo ya Liberthi kuhemea bidhaa wakati naelekea Nyengezi round about ya Liberthi lilitokea gari la CHADEMA likiwa na bendera na speaker zikitangaza mkutano kesho tarehe 20/5/2015 kwamba mkutano utahutubiwa na Ezekiel Wenje na mbuge mtarajiwa wa Morogoro Afande Selle!! Ilifikia hatua nikawaza hivi leo ni siku ya wajinga duniani am a ndizo siasa za majitaka!!? Wakuu hili si jambo la kutania ni kweli kabisa na Mimi nafahamu Wenje ni CHADEMA wakati Afande Selle ni ACT WAZALENDO. Nilijaribu kulipiga picha lakini likawa limetokomea huku Mimi nikihofia kuibiwa mizigo na msukuma mkokoteni aliyekuwa ananipelekea mizigo stand ya Igombe Lwagasole ili ninyoke Nyengezi.

wewe ndie una muhemuko na afande sele,cdm hatuna shida na wavuta bangi na wavua nguo hadharani,gari la matangazo lilikuwa linamtaja proffesa jay na sio huyo hayawani wa ACT wasaliti.:laser:
 
Back
Top Bottom