hii tena ni habari mpya kwangu. maana usiku wa kumkia leo nimeota kuwa Evelyn Salt ana hii neema so ninatakiwa kujiandaa maana some times dreams become true.hahahaha mkuu hawa dili sana kule SUA
hii tena ni habari mpya kwangu. maana usiku wa kumkia leo nimeota kuwa Evelyn Salt ana hii neema so ninatakiwa kujiandaa maana some times dreams become true.View attachment 82895
hii tena ni habari mpya kwangu. maana usiku wa kumkia leo nimeota kuwa Evelyn Salt ana hii neema so ninatakiwa kujiandaa maana some times dreams become true.View attachment 82895
ushataja habari za imalaseko na suprise unadhani atakwambia kweli,mi jana nimewaona mlimani pale samaki samaki wakiwa wote na vin diesel tena wamekaa kimahabat kabisa!
toba!! passion lady jiangalie usije pata mada kesi mie nina BP naweza poteza uwezo wa moyo kudunda dunda ukajikuta upo segerea!
Passin lady embu acha kusema hivyo mbele ya kadamnasi njoo huku kona nikupe takrima!!
thats y nimekwambia tembea kabisa na vidonge vya presure SLAVE la sivyo utadanja siku c zako!sasa kuliko kupoteza nguvu kazi ya taifa bora nikueleze uchukue tahadhari coz cku ukiwaona live utaona poa si ni kitu ulitarajia wala hutoshtuka kiviiiiiileeeeee!
chafyi chana n'tu wangu nkuchi uchichahau ming'oko Voice of Wisdom
voice of wisdom unatutaka maneno?hatuitaji hao mifugo pori wa slave jamani,asubiri harusi ya chilli kama atafanikiwa kupata mchiinekeeee ndio patakua penyewe bna!
haya kamata buku mbili hii.
lakini huu mchezo ni hatari sana kwa maisha yangu, kumbe ndio maana Vin deasel haonekani kwa sanaa
mi hata sitaki maneno, nataka tu changia harusi, halafu p.l ukinipga beat naweka pingamizi.
mbona inatosha nunua chips na yai moja hiyo?????????.
hiyo ngumu