Tangazo la biashara

Last edited by a moderator:
mi nitachangia hao wajamaa kumi ktk harusi ya chief judge rutta na p.l, pia kama uwezo utaruhusu nitaongeza hadi ichilini

voice of wisdom unatutaka maneno?hatuitaji hao mifugo pori wa slave jamani,asubiri harusi ya chilli kama atafanikiwa kupata mchiinekeeee ndio patakua penyewe bna!
 
kesho asubuhi lazima nikufanyie suprise ya maana pale imalaseko supermarket ila kama tu nikweli Vin Diesel umetupa kulee....!!

ushataja habari za imalaseko na suprise unadhani atakwambia kweli,mi jana nimewaona mlimani pale samaki samaki wakiwa wote na vin diesel tena wamekaa kimahabat kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…