Tangazo la biashara

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Kule iringa kuna mifugo kama hawa wanaitwa simbilisi na kule singida wanaita mpoko,na usukumani wanaita ngoso, tuonane fasta bidhaa nichache.
 
slave tuwekee picha za hao mifugo tuwaone wengine tumetoka kapa!ndio wanafananaje kwanza?
 
hao wa kwako ni Chamaki N'changa...don't think if Guinea Pigs look that way!!!
 
watu8 kumbe ukuambiwa kuwa umepikiwa chamaki n'changa means umepikiwa hiii kitu hii??
 
Last edited by a moderator:
Hao Simbirisi nimewaona sana nikiwa mdogo, ni wadogo zaidi ya hao katika picha halafu wana muonekano kama wa sungura...broda hao unaouza wewe wamekaa kama Panya duh!!!

Ni kweli simbilisi wako kama sungura na nyama yao ni tamu kwakweli pia ni laini
nilpowaona hawa simbilisi wa Slave kwakweli wamenishtua kidogo nikaahirisha zoezi la kutaka kuwanunua.... Slave mi basi bwana nimeahirisha kuwanunua maana dhuuuu......
 
Rich woman hao ndo wenyewe bana sema mazingira walokulia ndo yamewafanya waonekane tafauti, ni kama kuku tu kuna wakienyeji na kidhungu we njoo bana takupa na hati punguzo.
 
Last edited by a moderator:
Ulishawahi kula chamaki n'changa nini!??
Baba V nisaidie kutangaza biashara hii embu angalia mezani kwako kuna ratiba ya ndoa hivi karibuni? Najua soro mixer na hii ngoso wana cc wataipenda.
 
Last edited by a moderator:
aakhaaa! babu we SLAVE hao mifugo mi sihitaji kabisaaaaa,baki nao tu uendelee kuwafuga,kumbe chamaki nchanga?
 
Baba V nisaidie kutangaza biashara hii embu angalia mezani kwako kuna ratiba ya ndoa hivi karibuni? Najua soro mixer na hii ngoso wana cc wataipenda.

baba v kwny harusi yetu chamaki nchanga hatuwahitaji kabisa usijetuharibia pozi bure kisa slave na mifugo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…