MSATULAMBALI
Senior Member
- Apr 1, 2012
- 187
- 55
Mnatangaza nafasi hizi za upolisi kwa faida ya watanzania wote au ni kwa faida ya CCM tu?
Maana mwenye macho aambiwe tizama....jeshi letu la polisi ni ccm,rushwa na kuwabambikizia
watu kesi....all in all hii ni kazi ya lawama kwa jamii na hii ni kazi ya maana na pongezi kwa ccm.
sijui niahilishe MBA yangu ili nikawe mamuruki kwa hawa policcm, maana hakuna idara inanikera ktk nchi hii kama hawa bendera, upepo utakako vuma tuu wapo
mkaliwakitaa, last year kulikuwa na employment ya professionals, sijui mwaka huu vipi labda utumie fursa hiyo...jamani mimi nina 29 yrs , bado tu mtanichukua?? lakini nipo tayari kabisa kabisa kabisa afande..
tangu nijiunge na huu mtandao ths z th 1st tym a mit a ril great thnkr. great bro/sis, hii k2 ya kuwaza kishabiki i ril hate t. lets b positivei hate this kind of thinking!
anyway, wahenga walisema:
"Be the change you want to see around u"... badala ya kuponda why not join in the fight against the practices so that one day we can have a fair and helpful police force?
Mambo mengine, get to know why they do the things they do b4 u ropoka...believe me, i dont like how the police are working na mimi baadhi ya hayo mambo yameshanikuta ila siyo sababu ya kuwatukana polisi wote maana najua kuna those who are fighting against the status quo..bt ts a long fight!!
ni kama ukisema watu wasigombee ubunge since ubunge ni uccm..ni wizi, ni hujuma ni ufisadi...what will u say of the fighters like Zitto et al? do u want to tell me there are no people like them in the police force?
oh oh...ama u have worn the clothes of uchama in the sense that anything wrong hapenning gets thrown to ccm's faults? what hav u as a citizen done? mshikachuma
ikitokea mkuu ni pm mapema.. nina ka LL.B kangu
Mnatangaza nafasi hizi za upolisi kwa faida ya watanzania wote au ni kwa faida ya CCM tu?
Maana mwenye macho aambiwe tizama....jeshi letu la polisi ni ccm,rushwa na kuwabambikizia
watu kesi....all in all hii ni kazi ya lawama kwa jamii na hii ni kazi ya maana na pongezi kwa ccm.
Leonard Robert, mnafahamiana na mkaliwakitaa nini?wewe umri umeenda!
umenena mkuu kwani hata sasa jeshi la polisi haliko kwa ajili ya kulinda na kutetea haki za raia bali kupokonya na kunyang'anya raia haki zao. Naweza kusema na nadhini wengi watakubaliana nami kwamba jeshi la polisi liko kwa ajili ya maslahi ya chama cha magamba(chukua chako mapema£ccm).