Eti nyie airtel hebu nielewesheni, kwenye hili tangazo lenu mmeweka hela halafu imekatwa, halafu mmeandika hauchajiwi ndio kusema kwamba hamkati hela sasa mbona tangazo lenu wenyewe ndio linaonyesha hela imekatwa?
matangazo ya promotion ya makampun ya sim yote yana walakin,
voda wanasema kwa 250 unapiga sim unatumia internet na kutuma text bure, simply by dialling *102*250#
matangazo ya promotion ya makampun ya sim yote yana walakin,
voda wanasema kwa 250 unapiga sim unatumia internet na kutuma text bure, simply by dialling *102*250#
Mwenyewe nilinunua hiyo modem mbona nilikoma, salio likiisha inakata, nilipowauliza wakaleta story nyingi ambazo hata sikuzielewa... hii ni kuashiria kwamba hawana mbinu za marketing zaidi ya kudanganya watu, na kwa jinsi tunavyopenda vya bure basi wanatupata kwelikweli... lakini ni aibu kusema kweli.
Hili tangazo huwa linaniharibia sana siku yangu. Silipendi, silipendi, silipendi. Kwa kifupi nadhani airtel si wabunifu wa matangazo kama zantel. Kitu zantel bana ah 'fungua njia kitoto chaanza tambaaaaaaa'