Tangazo kwenye duka la Mchaga

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Pata sukari, mayai, baiskeli, kanga, pilau, walikuku, sambusa, tairi za trekta, madaftari, bia
aina zote, petroli, matunda, nazi, vitumbua, mitumba grade 1, supu ya utumbo, mabati,
vocha, mtego wa panya, dawa ya mbu ya kuchoma, pembejeo, computer, juice, mboga aina
zote, mahindi ya kuchoma, bajaj, cement, leso, vyumba vya wageni, kondomu, tunanunua
chupa tupu za bia na soda, tunaziba pancha na vyuma chakavu. Karibuni!
 
afu wachaga kwa kuungishana...mtu anaacha kustarehe kwenye bar za maana na mziki laini anakuja kumuungisha mwenzio amekalia kibenchi bia ananywea kwenye bilauri
 
Umenichekesha sana mkuu mpaka nimepaliwa na bia,ahsante sana.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kweli massawe atakua mafi yake
 
Hahahahaaa!!!
Mkuu hapa umesema kweli kabisaaaa!!
Unakunywa bia kwenye chupa ya uhai ilokatwa katikati, kwasababu tu ni kibanda cha Chaky huoni tatizo. Ukienda break point ukipewa glass ya njegere unakuwa mkali kama mbwa waliopelekwa Igunga kwenye uchaguzi.
afu wachaga kwa kuungishana...mtu anaacha kustarehe kwenye bar za maana na mziki laini anakuja kumuungisha mwenzio amekalia kibenchi bia ananywea kwenye bilauri
 
afu wachaga kwa kuungishana...mtu anaacha kustarehe kwenye bar za maana na mziki laini anakuja kumuungisha mwenzio amekalia kibenchi bia ananywea kwenye bilauri

Du hiyo bia ya kunywea kwenye bilauli inakuwa na tbs kweli?
 
Hiyo ndio super mix ya Mangi.. Hukosi kitu kwake maana ni zaidi ya supermarket kwani kama nimteja mzuri mkopo unapata-anakuandika kwenye daftari yake (huwa haiiachwi dukani akifunga usiku kutokana na sensitivity yake)
 
Duh!
Haya bwana!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…