Tangazo kwa watanzania wote waishio UK

Tangazo kwa watanzania wote waishio UK

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,953
[h=3]Tangazo Kwa Watanzania Wote[/h]

[h=1]TANGAZO KWA WATANZANIA WOTE[/h]

SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD
WAZEE WA KAZI
TANGAZO KWA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK
UTAWALA WA SERENGETI FREIGHT UNAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUWA TUTAANZISHA MFUKO MAALUMU KWA AJILI YA DHARURA NA SHUGHULI MBALI MBALI ZINAZOIGUSA JAMII YA WATANZANIA WAISHIO UK

SISI KAMA SERENGETI TUTATOA ASILIMIA TANO YA FAIDA ITAKAYOPATIKANA KATIKA BIASHARA YETU NA KUZIWEKA HIZO HELA KWENYE HUO MFUKO.
HELA HIZI ZITAKUWA ZINAWEKWA KWENYE HUO MFUKO KILA MWISHO WA MWEZI

TUNAOMBA USHAURI KUTOKA KWA MTU YOYOTE MWENYE MAWAZO NI JINSI GANI HUU MFUKO UTUNZWE NA USIMAMIWE NA NANI.
Please Note; PESA ZA KUJENGA MFUKO HUU ZITATOLEWA NA SERENGETI TU, HAKUNA MTU ATAKAYECHANGISHWA , TUMEAMUA KURUDISHA KAMA SHUKURANI KWA MCHANGO WENU KWA BIASHARA YETU.
MFUKO HUU NI KWA AJILI YA WOTE, BORA TU UWE MTANZANIA
TAFADHALI TUNAOMBA MCHANGO WENU WA MAWAZO KWA KUTUANDIKIA EMAIL AU KUTUPIGIA SIMU KWENYE NAMBA HIZI HAPA CHINI
CHRIS LUKOSI +44 07903828119 & 07404279633
SIMON LOUIS (MOHSIN) +44 07950689243

HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
email: info@serengetifreight.co.uk or serengetifreight@yahoo.co.uk
Tell (+44) 01375 855917 Fax (+44) 01708202477
www.serengetifreight.co.uK

AHSANTENI

CHRIS LUKOSI
DIRECTOR​
 
Nitakucheki soon ndugu lukosi, hongera kwa nia hii njema , watanzania wenzetu wamekuwa wakizikwa kama kuku huku UK, nimeshuhudia juzi katika mji wa Reading mtanzania akizikwa na serikali ya UK baada ya kukaa hospitali kwa muda mrefu huku ubalozi wakiwa kimya na hata Mizengo pinda alivyokuwa UK juzi , ndugu zangu fulani mwalimfahamisha ila naye kakaaa kimya, nawapongezeni for CORPORATE SOCIAL RESPONSIBILITY mliyoionesha, hopefull kama kuna external auditors wanawakagua basi wataonesha compliance yenu na UK code of Corporate Governance
 
so sorry to hear that...how comes someone being buried over there( i mean in reading) without relatives being informed? do u people out there dont have any association? dont u spare sometime to meet physically? wht I thought when u meet thousands of miles away from your homes ...u become really united
 
Ndugu yangu mwenyewe nimeshtuka sana, nina ndugu yangu anafanya kazi NHS ( kwa uingereza inaitwa NATIONAL HELATH SERVIECE) ndie alimuita dada angu hospitalini baada ya huyo mtanzania kuwa amekaa pale kwa muda wa wiki sasa, alikuwa akifanya kazi za uyaya, wana anuani za ndugu zake wawili ( kwa privacy siataziweka hapa) lakini inaonekana sio authentic, inasikitisha sana ndugu yangu
 
Mie binafsi sijazisikia habari hizo lakini nimewahi kufiwa hapa UK na niliona jinsi ilivyo ghrama kusafirisha na pia inavyokuwa tabu kama huna msaada wa karibu, bahati familia yetu tuko wengi huku hivyo pamoja na msaada wa marafiki na ndugu wa karibu tuliweza. lakini huwa najiuliza kama huna ndugu na wewe ni mgeni hapa UK ukiugua ghfla au kupata tatizo lolote kubwa utafanyeje?
Hapo ndio nikaona umuhimu wa kuanzisha mfuko huu na nikakubaliana na mkurugenzi mwenzangu kufanya kama vile wazungu wafanyavyo "CHARITY" sasa na sisi tumeanzisha charity yetu ambayo tutaisaidia kadri tuwezavyo.
Cha muhimu hapa ni kupata mawazo ya namna gani tuuendesha huu mfuko na jinsi gani watu wanaweza kuwasiliana na mweka hazina kwa sababu sio kila mtu anaweza kuwa comfotable kuniona mimi au Mohsin akiwa na shida hivyo ni bora tukapata watu independent watakao simamia
 
wazo zuri ndugu yangu na pia muwe mnajuana mlipo na kutembeleana sometimes wale ambao mtakua mji mmoja!
Nasema haya kwa uzoefu nilionao, waafrika wakifika huko ulaya basi kwenye mitaa wanakimbiana kana kwamba
anahisi yule jamaa alie mbele yake atamuomba msaada au mahali pa kulala. Ikitokea mkajuana watanzania basi muwe
kitu kimoja na sio muwe wachawi wenyewe kwa wenyewe!!!
 
JE KAZI YENU HASA NINI? MIMI NIPO BONGO NA NINAHITAJI KUNUNU VITU FROM UK KULETA HAPA BONGO FOR SALE
ASANTENI NA PIA HONGERA KWA KUAMUA KUUCHANGIA MFUKO WA MSAADA KWA WATANZANIA WAKATI SHIDA IKITOKEA
MUNGU ATAWABARIKI KATIKA BIASHARA YENU
AMINA

Mkuu Lukosi hili ni jambo la maana sana na la msingi ila usimamizi wa hii account ndio jambo la kuangaliwa sana. Kumekuwa na tabia za kutapeliana sana hapa UK kwenye masuala ya michango au niseme pesa. Kwa mawazo yangu hii account isimamiwe na ubalozi wetu au hata Mhe. Balozi mwenyewe. Vinginevyo uaminifu utakuwa wa utata!!
 
Mkuu sie biashara yetu ni kusafirisha mizigo, kununua na kuuza magari na pia tuna workshop za kutengeneza/kukagua magari/garage
 
Mkuu Lukosi hili ni jambo la maana sana na la msingi ila usimamizi wa hii account ndio jambo la kuangaliwa sana. Kumekuwa na tabia za kutapeliana sana hapa UK kwenye masuala ya michango au niseme pesa. Kwa mawazo yangu hii account isimamiwe na ubalozi wetu au hata Mhe. Balozi mwenyewe. Vinginevyo uaminifu utakuwa wa utata!!
Mkuu asante sana kwa wazo lako.
Tayari tumeisha wasiliana na ubalozi kuhusu hili suala na wametuahidi kuangalia uwezekano wa kutusaidia kusimamia hili.
Tutawajulisha majibu watakayotupatia kupitia vyombo vya habari, lakini pia wakati tuna subiri ushauri kutoka ubalozi pia tungependa watu mbali mbali watusaidie kwa ushauri
 
Back
Top Bottom