Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
UKAWA chondechonde, msitudanye sisi watu wazima. Niko tayari kuutetea ukweli huu hata aje nani. Kama mmeshindwa kuzuia wizi wa kura za katiba ya CCM, kwa wajumbe wenu 67 wa UKAWA, mtawezaje kuzuia wizi wa kura wa katiba hiyo itakapopigwa nchi nzima. Haiingii akilini mwangu na wala haitaingia, ukweli huu unabaki kama ulivyo.
Msituambie mnasubiri wananchi kuikataa. Mtalinda kura vipi nchi nzima wakati mmeshindwa kulinda za watu wenu 67. Nimekasirika sana. UKAWA mmekuwa kama siyo wanasiasa. Hamkuwa strategic enough kwa hilo la kuzuia wizi wa kura. Bora mnyamaze tu.
Unacheza na ccm wewe! Ccm ndo dola. Kwa uchakachuaji ndo wenyewe!
jukumu la kuleta demokrsia ktk nchi sio jukumu la ukawa ni lako,sasa wafanyeje wako nje ya bunge,hivyo ni jukumu letu wananchi kupinga rasimu hiyo isije kwetu.....tatizo la nchi hii ni aina ya watu wake ambao sio watu wanaowajibika.
UKAWA wanshinda huku kwenye JF, kulikuwa na mawazo mazuri kuwa wachukue kiapo cha kisheria kuonyesha kuwa hawaungi mkono rasmu ya CCM na wala hawataipigia kura. Walifanya nini kwa pendekezo hili kwa mfano. Nasema UKAWA, waufyate.Wangezuiaje wizi wa kura wakati hawakuwemo Bungeni, kumbuka UKAWA walishajitoa kwenye mchakato wote wa Katiba na hiyo PENDEKEZWA iliyopitishwa siyo ya wananchi ni ya MAZUZU imepitishwa na MAZUZU kwa utaratibu wa KIZUZU.
Kama umepiga kura hapana publicly, watu watajua wazanzibar waliokataa ni wangapi. UKAWA hawakuwa bungeni ndio, lakini walikuwa na njia yakutumia viapo vya kisheria kuwa kura yao ni hapana, wamefanya nini, hakuna. WANYAMAZE kIMYA.Unakuhusu nini wewe kulinda kura, wew piga hapana watasoma wenyewe...
Ndio walijitoa, lakini walikuwa wanajua kuwa kura zao zinawindwa hata kwa kuiba. Walichotakiwa kufanya ni kuchukua kiapo cha kisheria kuzuia uchakachaji wa kura zao. Ushauri huo ulikuwemo hapa JF, kwa nini hawakuuchukua? Leo wanakuja kulia lia na kutudanganya eti tusubiri kura za wananchi, waache uongo huu, hauuziki.Wangezuiaje wizi wa kura wakati hawakuwemo Bungeni, kumbuka UKAWA walishajitoa kwenye mchakato wote wa Katiba na hiyo PENDEKEZWA iliyopitishwa siyo ya wananchi ni ya MAZUZU imepitishwa na MAZUZU kwa utaratibu wa KIZUZU.
Kama umepiga kura hapana publicly, watu watajua wazanzibar waliokataa ni wangapi. UKAWA hawakuwa bungeni ndio, lakini walikuwa na njia yakutumia viapo vya kisheria kuwa kura yao ni hapana, wamefanya nini, hakuna. WANYAMAZE kIMYA.
Bora umenena ukweli, maana HAPANA na NDIYO yote sawa kwa Tanzania yetuKwangu mimi katiba hii ni rafiki kwangu!
Sina sababu za kuikataa. Kura yangu itakuwa NDIYO siku hiyo ya kupiga kura.
Nitajitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu wote kuwashawishi watu wengi kadiri iwezekanavyo waipigie kura ya NDIYO!
Nyie endeleeni kulalamika na kuandamana!
UKAWA wameshiri kwa kushindwa kulinda kura zao 67, hata aje nani hapa nitamwambia kweli yake. Awe Lipumba, Mbowe, Mbatia, huu ndio ukweli mchungu, hawakutakiwa kulala usingizi hata kidogo. Ni njia ya kuzuia wizi was very simple. Take legal outh, hii ingewapa nafasi ku-challenge wizi wowote ambao ungetokea.Hawajashiriki ujinga na upuuzi huu ccm wanafanya...
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Mkuu umenichekesha sana kwamba ndiyo na hapana yote sawa kwa tanzania.Bora umenena ukweli, maana HAPANA na NDIYO yote sawa kwa Tanzania yetu
Wangezuiaje wizi wa kura wakati hawakuwemo Bungeni, kumbuka UKAWA walishajitoa kwenye mchakato wote wa Katiba na hiyo PENDEKEZWA iliyopitishwa siyo ya wananchi ni ya MAZUZU imepitishwa na MAZUZU kwa utaratibu wa KIZUZU.
Natamani kiongozi mmoja wa UKAWA aje hapa nimwonyeshe upuuzi wao. Wanafahamu CCM ni wezi wa kura, kama wanasiasa wanashindwa kuwa la plans za kuzuia wizi wa kura kwa watu 67, inatisha. Hii maana yake ni kwamba UKAWA hawana strategists na kuwa kwao humu JF hakuwasaidii. Watu wamtoa mawazo mazuri mno ya kuzuia wizi wa kura, walikuwa wapi? basi na wao sio wasikivu. Kama wameona maoni ya wadau kwa nini hawakufanyia kazi. Hesabu gani za kitoto wanatuleta sisi. Ushindwe kulindfa kura za watu 67, utaweza kulinda za watu mioni kadhaa. UKAWA wala nisiwaone na kuwasikia wakitoa matamko yao mengine.Mkuu hata mimi ukawa wamenikera sana jamaa wapuuzi kweli wanapiga mikelele hayana hata maana kumbe hawana lolote.
Watajipanga kufanya nini? Kwa hili la kusema wanasubiri kura za wananchi wasahau kabisa. Nasema wamenikera sana. UKAWA wanaviongozi huwa wanaingia JF, walishindwa kujifunza mawazo ya wananchi. Waende zao huko, sina maneno ya kusema kuonyesha nilivyokasirika. Unalala usingizi wakati una-deal na CCM. Watu hata wamekufa kwa ajili ya katiba, halafu wanashindwa kulinda kura 67, waende zao huko.UKAWA nafikiri kwa hili la katiba bado hawajawatendea SAWA wafuasi wao. Bado wana muda, wajipange, ukweli hata siku moja huwezi ukauficha milele kwa kusema uongo.