Tangazo kwa mara ya pili

idorome

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
28
Reaction score
7
Natafuta mwenzangu wa kuwa nae ila awe hapa UK niko mpweke sana na napenda rangi kama mimi sio mzungu. Alieko karibu anitumie kijiujumbe tuweze kuwasiliana na kusogeza maisha mbele.

Elimu yangu ni PhD na kazi zangu nyingi ni za utafiti hasa wa dawa za magonjwa ya kifua.
 
Mkuu uko na PhD lakini jinsi umeweka tangazo lako mmh bado halijajitosheleza. Kigezo ni kuwa uk pekee na rangi? Umri, jinsia hujaweka
 
mkuu hivyo havina shida issue ni sitaki long distance ilishanitesa sana, umri sio issue sana kwani tunaelekea mbele sio nyuma, elimu sio issue iwe kawaida tu hata diploma kwenda juu kwani kwenye ndoa hatufanyi mitihani upendo ndio issue kubwa na hata mtu hajasoma anaweza kumpenda na kumjali mtu
 
Mkuu uko na PhD lakini jinsi umeweka tangazo lako mmh bado halijajitosheleza. Kigezo ni kuwa uk pekee na rangi? Umri, jinsia hujaweka

jinsia kwake si tatizo teh teh teh teh...
 

naona hata jinsia bado haina shida kabisa cha muhimu ni kumpata mwenza!
 

mtafute bwana David Cameroon atakupa kampani anatumia zaidi twetter we mtweet tu mtawasiliana
 

Hizi title za thread! Nilikiri tangazo la pili bado la tatu ndoa ifungwe!
 
Mkuu uko na PhD lakini jinsi umeweka tangazo lako mmh bado halijajitosheleza. Kigezo ni kuwa uk pekee na rangi? Umri, jinsia hujaweka

Kwa jinsi alivyojielezea ndio maana kakosa hata demu navyojua uk birmingham kuna warembo wengi sana kujieleza kwa keyboard ni tatizo je akiwa mbele ya mbebez wa ukweli si atakuwa bubu? Ulikuwa unapiga nyanga bila kuwa social mtu wa phd unashindwa kutongoza demu? unashindwa hata na young killer au dogo janja?
 
Haaaa.ya kfua sa s kuleteana kikuu.kubak utaft wa kifua unapata kikuu.mmh!
 

Sasa unamsaidiaje huyu 'dz'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…