Tangazo kutoka cha Nite

Hebu nambie kinavunjwaje? Nifikiri vunja jungu kabla ya Ramadhan kumbe ni kwa Elo Supa?
 
Nikija twende nikawavunjie vyungu watu wangu walionichukulia vyangu. Tuanzie kwangu kufanya experiment na kurekodi halafu tulete mrejesho JF. Unaonaje?
Amri ya kutolipa kisasi tutaifanyaje dada?
 
Tunataka tuwajue halafu tuwasaidie kama kweli hii ipo. Ili liwe fundisho kwa wengine. Ili mradi wasife.
Mmh hii ipo dada haifai kufanyiwa majaribio[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mmh hii ipo dada haifai kufanyiwa majaribio[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Basi mdogo wangu nimekusikia tusifanye. Next week naenda kwenye ile Pagoda kuomba na kutoa sadaka nitakutumia mrejesho.
 
Mzazi aliyepigiwa mwanawe na wale walimu mabazazi akachukue teknologia hii awafanyie kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…