Tangazo hili la Equality For Growth linadhalilisha wanawake

Tangazo hili la Equality For Growth linadhalilisha wanawake

Ni moja kati ya matangazo boooora kabisa. Hili na lile la mwalimu wa kijijini la Haki Elimu, ni matangazo yaliyoshiba
 
hilo tu ndio mleta uzi anasema matusi! hahahahahaahah!
[emoji23] [emoji23] ilo tu ndo linamtoa povu ivo mana mi nilishaliona mara nyingi kwenye tv!!
Labda atwambie ukweli pengine alinyimwa kazi hiyo mana sijaona tusi la kumfanya mtu kufungua thread akilaani vikali [emoji12] [emoji12]
 
Tangazo liko sahihi kulingana na kile kinachozungumziwa.Watz huwa hatupendi kuambiwa ukweli na hayo ni maisha ya kina mamantilie wengi wananyanyaswa sana na wateja wao!..KUBALINI UKWELI ILI MJIREKEBISHE.
Tena hilo analosema mtoa mada sio tusi ni kibwagizo tu ukiwakuta maeneo yao ya biashara wanavyotukanwa unaweza tapika chakula chote kwa uzito wa matusi [emoji2] [emoji2]
 
7eabb568ed55d455bd8433f926efe870.jpg
nani apoteze muda wa kukuheshimu kwa aina hii
Aisee huyu kapendeza sana
 
Huyo Mwanamke anaepiganiwa asidhalilishwe ndio kinara Wa kujidhalilisha ....Huo ni muendelezo Wa mambo mnayo yapenda na kuyafanya
 
Jamaa katoa mineno ya shombo kweli ila sijaona tatizo kwamba et huwezi hata kuyaandika humu.
 
Back
Top Bottom