Mwisho ijumaa kucomfirm wakt hat special code sijatumiwa na kwenye iyo list ya multiple selection simo n nimechaguliwa chuo zaid y kimoja.... Duh!Kutoka TCU tangazo kwa ummaView attachment 886208
wapigie chuo unachotak ku comfirmMw
Mwisho ijumaa kucomfirm wakt hat special code sijatumiwa na kwenye iyo list ya multiple selection simo n nimechaguliwa chuo zaid y kimoja.... Duh!
Ushambiwa muwasiliane na chuo husika ili utaratibu wakupata *code* ufanyike...wabongo kwa mapuuza ngoja tarehe tano ifike mliwe vichwa. Hizi ni zama za wepesi waziiiMbona wengine hawajapata confirmation code
Tatizo tukipiga huko vyuoni hawapokeiUshambiwa muwasiliane na chuo husika ili utaratibu wakupata *code* ufanyike...wabongo kwa mapuuza ngoja tarehe tano ifike mliwe vichwa. Hizi ni zama za wepesi waziii
Wakazie piga simu mpaka za mezani... miaka hii hakuna kuogopana.Tatizo tukipiga huko vyuoni hawapokei
nimepiga mzumbe wakasema liko nje wa uwezo wao wanaotoa namba ni TCU wakaniambia nisubirie na TCU CODE namba sijapata hlf wanasema uulize chuo ulichochaguliwa, ukiwapigia chuoni wanakwambia hawajuwi hilo..yaani Tanzania kila kitu ni kubahatisha bahatisha tu.[/QUOTE
Vuta waya TCU...waporomoshee mvuaa ya kukereketwa, wanarushiana mpira hali yakuwa muda umeishaa.
Kutoka TCU tangazo kwa ummaView attachment 886208[bro me wameni2mia jana so natakiwa niende chuoni wakani confirm am
mkomfirm mapema mtaliwa vichwa.Wakuuu nilisubiri code toka first selection ila Leo ndo nimepata mungu apewe sifa
UDOM FIRST YEAR 2018/19 WHATSAPP GROUP:
Kama umechaguliwa Kujiunga na masomo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) bofya link hapo chini tukutane pamoja ili tuweze kusaidiana Mambo mbalimbali muhimu unayotakiwa kuyajua wakati unaenda kuripoti UDOM.
UDOM FIRST YEAR
Saidia kusambaza Link ili kuwafikia walengwa.