Tangazo: "chadema sasa yafutwa rasmi"

Mzee mleta thread, unatafuta umaarufu au? Manake habari yako na ndoo ya habari haviendani japo umezuga kuweka kwenye funga na fungua semi!
 
mkuu vipi? mbona hueleweki?
toka lini ndoto ikaeleweka. Mtu unakula ugali na maharage mchan kweupe na kisha unapata nap, nategemea nini kama siyo kuota ndoto za mchana. Si unajua ndoto huwa hazina mwanzo wala mwisho; kichwa wala mkia; na ndoto si utabiri. Ngoja mtoa mada aamke toka usingizini atakuta alikuwa anaota!
 
​inaonekana unajifunza kutumia mtandao nenda lumumba nape akupe maelekezo mengine
 
Cjaona uhusiano kati ya heading yako na maelezo ya habari yako! Kajipange upya
 


Maendeleo gani unaongelea wakati 36% ya wananchi (aprx.16 m people) wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa hata mlo mmoja ni shida? Maendeleo gani unayoongea wakati hata net za mbu tunaomba? Hivi ni shughuli gani hizo za maendeleo unaongelea wakati vijana wanatembea na vidumu vya maji na sponge kuosha vioo vya magari barabarani? Na kwanini miaka 50 ya uhuru bado tunaongelea kuchimba visima na sio kuingiza maji ndani?

Maybe CHADEMA, CUF, NCCR-Mageueuzi na wengine wanaweza kuweka mambo hadharani ili watanzania waanze kujadili kwa kina na kuhoji kwa tuko hapa.
 
Si katumwa aandike tu unafikiri ni akili yake huyo. Lazima aishie kujikoroga, CDM kweli ni chama cha kukibana mbavu CCM? yaani ukoo wa LISSU, MTEI, OWENYA na SLAA ndiyo ukibane mbavu chama cha Watanzania.
\

Mbona basi mnahaha usiku na mchana!!!!!!!! mmeenda hadi Israel kununua mitambo kwa sababu ya CDM.. Msema kweli kipenzi cha Mungu.. CDM imewashika pabaya.. hamlali,, hamnywi vikanyweka kutwa kucha kupanga maovu kwa ajili wa watu wanaopigania haki ndani ya nchi yao!!!!!!!!! siku zenu zimebaki chache!!!!!!! Tanzania ni ya Watanzani sio ya walafi na wabinafsi wachache kama wewe...
 

Acha kunywa mbetezi we ni kijana sana taifa bado linakuhitaji.
 
Kichwa cha habar na habar yenyewe wala haviendani. Hujaeleweka. Rudi teka kajipange upya

Jumatatu leo lazima kaamka nazo nyingi hebu tumuache kwanza atafari na atoke upya labda ataeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…