Tangaza Biashara Yako Unufaike.

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Kampuni ya JC&MD CONVERGENCE MEDIA LTD, wachapishaji wa Jarida la Matangazo na Habari GLOBAL LINK ADVERTS wanayofuraha kukufahamisha mambo ya fuatayo÷
1. Toleo la kwanza la Global Link Adverts linatoka mwishoni mwa mwezi wa Saba Mwaka huu 2016.
2. Jarida linajihusisha na habari na matangazo yanayohusu ujenzi zaidi ingawa inapokea matangazo kutoka sekta zote kama kilimo, biashara, usafirishaji nk.
3. Jarida litakuwa linagawiwa bure kwa wasomaji wake na wale waliotangaza.
4. Kampuni inatafuta mawakala wa kusambaza jarida hilo ndani na nje ya nchi.
5. Kampuni inatafuta wakala wa matangazo ndani na nje ya nchi, kila tangazo unalipwa 5% ya gharama ya tangazo lililochapishwa.
6. Kampuni inahitaji waandishi wa habari hasa wa makala za ujenzi.
7. Mwenye tangazo lake au anataka kutangaza nasi katika toleo la July 2016 awasiliane nasi kwa simu namba 0758 049 103 na 0757 332 260 au email *globalmediatz@gmail.com*.
Faida ya kutangaza nasi toleo la kwanza ni kuweka historia kwani, atakaye tangaza katika toleo hilo atakuwa anatajwa katika matoleo yote ya mwaka huu hata kama hutatantangaza tena na au kuwa msamabazaji wa nakala zetu
******************
 
Back
Top Bottom